| Song | Pastor |
| Artist | Roma |
| Album | Roma Singles |
| Download | Image LRC TXT |
| Yeah | |
| Wacheni watoto wadogo waje kwangu | |
| Mana ufalme wa mbinguni ni wao | |
| J.rider where you are | |
| Am the pastor of this church | |
| Am the pastor of this church | |
| Am the... its tongwe records | |
| Fanya ishara ya msalaba | |
| Upokee haya mahubiri | |
| Mimi ni mteule, nina waletea injili | |
| Nina ushuhuda wa kiroho | |
| Bwana yuwa je msubiri | |
| Natangaza upako, | |
| na habari za mnara wa babeli | |
| Wachungaji wanalumbana wakigombania waumini, wanalala | |
| Wakiamka wanaanzisha dini | |
| Hawaogopi damu ya msalaba | |
| Bible wanaifanya biashara we sio yesu | |
| Hatakama baba yako fundi seremala | |
| We ni nani usokosea | |
| kila unayemuombea anapona | |
| Hatutaki shuda za uongo | |
| Aminini nyote mtachomwa | |
| Ndani ya vazi la suti | |
| unakebehi Wakatoliki | |
| Mtaleta dini zote ila R.C itabaki | |
| Hata kristo alipoponya hakutaka malipo | |
| Account yako imejaa sadaka zetu | |
| Wakristo | |
| Toba yako haijaswihi halafu unajiita una | |
| Upako | |
| So kila atakayenita bwana basi ataiyona pepo | |
| We nina unayejiita nabii kwenye jamii | |
| Hizi nyakati za mwişo soon atashuka masih | |
| Piga magoti tuswali ameen | |
| Piga magoti tuswali (ameen) | |
| Waumini wamekimbia kanisa | |
| Madhehebu yanaongezeka | |
| Hizi nyakati za mwisho | |
| Check manabii wa uongo | |
| mwana wa adam ni waja (ameen) | |
| Mwana wa adam ni waja(ameen) | |
| 2... | |
| Laiti ningewezaaa | |
| ningekugeuza jiwe la chumvi | |
| Vipi unipangie sadaka pastor gani | |
| We mlanguzi | |
| Hakika ili neno listumikie mabwana wa2 | |
| Siasa na kanisa kama hadisi za cain na abel | |
| Ka sabato wasokula kitimoto wala kambare | |
| wanasadiki mbele ya haki | |
| Wanaamini agano la kale | |
| Mnatangaza ufahari wenu kwenye vikapu cha sadaka | |
| Hakuna sadaka ya kweli kama kumchinja isack | |
| Kanisa lako halifanani na ufalme wa jehova | |
| Madhehebu yanajitenga kama makundi ya bongo fleva | |
| Heshima ya mkatoliki | |
| inashuka kama theluji | |
| Dini mmeifanya miradi | |
| kwa kivuli cha uchungaji | |
| Kanisani mnaonyeshana | |
| ufahali wa kuvaa bazeee | |
| Hekalu mnalichafua | |
| Kwa sadaka ya pedeshee | |
| Biblia hujaimaliza | |
| unataka uzima wa milele | |
| Usije ukatuchoma moto | |
| Ka wafuasi wa kibwetele | |
| (Chorus). | |

| Hizi nyakati za mwisho soon atashuka masih | |
| Wewe una mamlaka gani mpaka unajiita nabii | |
| Kukataza waumini wasivae mapambo | |
| Kwa kujaji ili pesa wakupe sadaka | |
| Na kisha unafanya mtaji | |
| We m hungaji umekusanya waumini | |
| Kwenye vijiji | |
| Ukawaongoza sala ya toba | |
| Kama yohanna mbatizaji | |
| Unabeba gunia la zambi | |
| Na yesu kumvika taji | |
| Usiniekee mkono kichwani huna katamu ya uponaji | |
| Imani yako ndogo kama punje ya radani | |
| Uza mali zako zote pesa uwape maskini | |
| Si unatupa kiini macho unatumia gari ya kanisa | |
| Halellujah halellujah | |
| kumbe unatuibia sadaka | |
| Yesu hakuwa mganga wa kienyeji | |
| Japo alimponya kipofu kwa tope la mate yake | |
| Ila kwako napata hofu | |
| Ehhh mungu napiga goti hiki kikombe kiniepuke | |
| mwana wa adamu ni waja basi tungoje ashuke | |

| Angalieni mtu asiwadanganye | |
| Mana wengi watakuja kwa jina langu wakisema. mimi ni christo | |
| Nao watadanganya wengi(halellujah) | |
| Emeeen . | |
| Manabii wengi wa uwongo watatokea | |
| Kutakuwa na dhiki kubwa siku hiyo | |
| Je hamsadiki ya kuwa hizi ni ishara kwamba mwana wa adam ni waja | |
| Emeeen . | |
| Basi hakikisheni mkiswali mana hamjui saa wala siku | |
| I am the pastor of this church | |
| I am the pastor of this church | |
| I am the... | |
| Its tongwe records... |
| Yeah | |
| Wacheni watoto wadogo waje kwangu | |
| Mana ufalme wa mbinguni ni wao | |
| J. rider where you are | |
| Am the pastor of this church | |
| Am the pastor of this church | |
| Am the. . . its tongwe records | |
| Fanya ishara ya msalaba | |
| Upokee haya mahubiri | |
| Mimi ni mteule, nina waletea injili | |
| Nina ushuhuda wa kiroho | |
| Bwana yuwa je msubiri | |
| Natangaza upako, | |
| na habari za mnara wa babeli | |
| Wachungaji wanalumbana wakigombania waumini, wanalala | |
| Wakiamka wanaanzisha dini | |
| Hawaogopi damu ya msalaba | |
| Bible wanaifanya biashara we sio yesu | |
| Hatakama baba yako fundi seremala | |
| We ni nani usokosea | |
| kila unayemuombea anapona | |
| Hatutaki shuda za uongo | |
| Aminini nyote mtachomwa | |
| Ndani ya vazi la suti | |
| unakebehi Wakatoliki | |
| Mtaleta dini zote ila R. C itabaki | |
| Hata kristo alipoponya hakutaka malipo | |
| Account yako imejaa sadaka zetu | |
| Wakristo | |
| Toba yako haijaswihi halafu unajiita una | |
| Upako | |
| So kila atakayenita bwana basi ataiyona pepo | |
| We nina unayejiita nabii kwenye jamii | |
| Hizi nyakati za mwi o soon atashuka masih | |
| Piga magoti tuswali ameen | |
| Piga magoti tuswali ameen | |
| Waumini wamekimbia kanisa | |
| Madhehebu yanaongezeka | |
| Hizi nyakati za mwisho | |
| Check manabii wa uongo | |
| mwana wa adam ni waja ameen | |
| Mwana wa adam ni waja ameen | |
| 2. . . | |
| Laiti ningewezaaa | |
| ningekugeuza jiwe la chumvi | |
| Vipi unipangie sadaka pastor gani | |
| We mlanguzi | |
| Hakika ili neno listumikie mabwana wa2 | |
| Siasa na kanisa kama hadisi za cain na abel | |
| Ka sabato wasokula kitimoto wala kambare | |
| wanasadiki mbele ya haki | |
| Wanaamini agano la kale | |
| Mnatangaza ufahari wenu kwenye vikapu cha sadaka | |
| Hakuna sadaka ya kweli kama kumchinja isack | |
| Kanisa lako halifanani na ufalme wa jehova | |
| Madhehebu yanajitenga kama makundi ya bongo fleva | |
| Heshima ya mkatoliki | |
| inashuka kama theluji | |
| Dini mmeifanya miradi | |
| kwa kivuli cha uchungaji | |
| Kanisani mnaonyeshana | |
| ufahali wa kuvaa bazeee | |
| Hekalu mnalichafua | |
| Kwa sadaka ya pedeshee | |
| Biblia hujaimaliza | |
| unataka uzima wa milele | |
| Usije ukatuchoma moto | |
| Ka wafuasi wa kibwetele | |
| Chorus. | |

| Nao watadanganya wengi halellujah | |
| Emeeen. | |
| Manabii wengi wa uwongo watatokea | |
| Kutakuwa na dhiki kubwa siku hiyo | |
| Je hamsadiki ya kuwa hizi ni ishara kwamba mwana wa adam ni waja | |
| Emeeen. | |
| Basi hakikisheni mkiswali mana hamjui saa wala siku | |
| I am the pastor of this church | |
| I am the pastor of this church | |
| I am the. . . | |
| Its tongwe records. . . |