| Song | Bado Mapema |
| Artist | Aslay |
| Album | Kipenda Roho |
| Download | Image LRC TXT |
| Weka lengo, weka nia, subiria, ridhiki yako, funga usongo, Pambania, | |
| pigania, maisha yako, wakikutenga, na we jitenge, | |
| maana wanataka sababu we yeee, wakirusha mawe, | |
| we rusha tende, wala usiwape sababu we yeee. | |
| Kwa nguvu zake mungu utapata,( | |
| Amina), usije kujaribu kuchoka, ( | |
| Amina), usichoke usikate tama adui | |
| utampa nafasie, jitahidi ndugu kuridhika, ( | |
| Amina), usifosi kifo cha kutaka, ( | |
| Amina), usije kuenekezaa njaa acha kupoteza nyakatiee. |