|
Woman, you make me feel like a thousand shillings |
|
Sio coins but noti |
|
Me you minus tai shati na koti. |
|
Heaven floating, hoping, I may make you feel like a lady |
|
oooh yeeeah |
|
Nataka unifunze adabu, (penzi langu tamu kama madafu) |
|
Nipe nipe hilo penzi la ajabu, (usikawie, usikawie) |
|
Usikawie bila sababu, (songa karibu yangu mami) |
|
Nataka unifunze adabu, (usinipimie, usinipimie). |
|
Ua limechanua, ukikawia litanyauka |
|
Jua kapisha mvua, nimegundua utaniua |
|
Wanipagawisha, long time it's been kuna kiangazi |
|
Tukutane wapi, nikupate wapi |
|
Hey hey heeeey hey hey |
|
(Wewe ni mubaya-baya, |
|
Mafuta moto kwa karaya-raya ah |
|
Nitaimba bila haya-haya |
|
Wewe ni pastor mi ni kwaya-kwaya aah) |
|
Nataka unifunze adabu, (penzi langu tamu kama madafu) |
|
Nipe nipe hilo penzi la ajabu, (usikawie, usikawie) |
|
Usikawie bila sababu, (songa karibu yangu mami) |
|
Nataka unifunze adabu, (usinipimie, usinipimie). |
|
Mpenzi uka ngutavye, |
|
Lemme lemme talk to you for a minute, |
|
Coz lately, i seem not to be ok, |
|
Wanifanya nakuwaza kishenzi, |
|
Wanifanya nahisi ni kama naoga na maji vuguvugu, |
|
Yaani ngumissiete ngakwata ukuta |
|
Kizunguzungu, |
|
It's been a long long time, |
|
Since I felt this way, |
|
And I've been longing and waiting, |
|
To see your face, |
|
Songea karibu, |
|
Niruhusu nikubusu, |
|
Sauti yako mpenzi, |
|
Nataka kuisikia daily |
|
(Baby you light me fire, |
|
Nikiwa nawe mi sioni haya, |
|
Mambo yote sawa, |
|
Siwezi kuacha, |
|
Hata na dawa ya mganga) |