Sesiliya

Sesiliya Lyrics

Song Sesiliya
Artist Khadja Nin
Album Ya...
Download Image LRC TXT
[00:00.00] Sesiliya - Khadja Nin
[00:14.44] Tarehe makuni tatu na moja
[00:20.62] Ya mwaka juzi
[00:23.79] Umetuaca
[00:26.93] Ukaji endeya bila kusema
[00:32.68] Wuko wa wuko wa wuko
[00:37.17] Wapi
[00:42.69] Mwenyezi mungo atusayidiye
[00:48.52] Atupative nguvu
[00:51.99] Tuendeleye
[00:55.06] Mwaka unapita hatuzoweleye
[01:00.86] Tunaliya sesili sesiliya
[01:07.66] Mimi na ikala cini mikono wazi
[01:20.21] Mimi najaribu kupokeya hali iy
[01:32.61] Sesiliya dada unaliliwa hoo
[01:51.44] Watoto yako umetuaminisha
[01:57.12] Kweli tutajaribu
[02:00.72] Wote pamoja
[02:03.80] Kwa kila hali tusayidiyane
[02:09.64] Tuwale tuwale tuwaleye
[02:16.47] Mimi na ikala cini mikono wazi
[02:28.88] Mimi najaribu kupokeya hali iy
[02:41.46] Sesiliya dada unaliliwa hoo
[02:51.06] Unaliliwa ye
Sesiliya Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)