Malaika

Malaika Lyrics

Song Malaika
Artist Nyashinski
Album Malaika
Download Image LRC TXT
[00:29.16] Uko na tabia za kupendeza roho
[00:32.79] Tabasamu ya kupapasa macho
[00:36.57] Sauti yako nikiskia, pia natulia yanipunguzia hasira nazo
[00:43.36] Urembo wako ulininasa roho
[00:46.27] Siku ya kwanza kukuona kwa macho
[00:50.26] Sa moyoni umekwamia siwezi kutania njoo unipunguzie mawazo
[00:57.23] And I feel you in my air when I breath
[01:00.71] I see you in my dreams when I sleep
[01:04.06] You are the one I have been waiting for, all my, life (Mmh)
[01:10.44] Deep down my heart I believe
[01:14.48] Unanifeel, nakufeel, hii ni real
[01:17.85] The one I have been waiting for all my life
[01:22.89] Uko sawa na, wote malaika na mabawa yao
[01:28.12] Wote wanakuiga we ndo mama yao
[01:31.58] Ni wewe nachagua sisemi nao
[01:34.84] Sisemi
[01:36.18] Oh baby, uko sawa na wote malaika na mabawa yao
[01:41.66] Wote wanakuiga we ndio mama yao
[01:45.04] Ni wewe nachagua sisemi
[01:47.08] Oh sisemi
[01:49.68] Oh sisemi
[01:59.45] Oh I love you baby
[02:19.27] And even though I've never been here before
[02:21.56] Somehow I know that this is how it feels to fall in love
[02:26.16] Baby you know I love you
[02:29.07] I place no one above you
[02:31.23] I need you in my life
[02:33.40] Forever and ever
[02:34.93] You will always have my heart
[02:36.66] We were meant to be together me and you-ooh
[02:41.84] Oh, me and you
[02:44.08] Hey uko sawa na, wote malaika na mabawa yao
[02:50.43] Wote wanakuiga we ndo mama yao
[02:53.83] Ni wewe nachagua sisemi nao
[02:57.15] Sisemi
[02:58.00] Oh baby, uko sawa na wote malaika na mabawa yao
[03:03.88] Wote wanakuiga we ndo mama yao
[03:07.57] Wewe nachagua sisemi
[03:10.53] Oh, sisemi
[03:11.84] Oh, sisemi
[03:14.63]
Malaika Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)