Raha Tele

Raha Tele Lyrics

Song Raha Tele
Artist Jay Melody
Artist Aslay
Album Raha Tele
Download Image LRC TXT
[00:04.05] Ah, aahh, ayayaya
[00:08.34] Mpaka raha
[00:10.11] Unavyoonesha maajab
[00:12.05] Unanipa mapenzi huchaguisana, mtoto nikab
[00:15.40] Madhara ukivifuata vibabu
[00:18.18] Ukatae tembele uchague nyama unieke roho juu
[00:25.66] Hatari sana
[00:28.28] Mtoto kulbaiya
[00:31.24] Unavyonipa umoto
[00:33.89] Hatari ukinibania
[00:35.32] Unainjoi sana michezo ya kukutania
[00:39.76] Na chai tule ukoko
[00:43.46] Usiku wali bamia
[00:44.71] Mapenzi yetu mi na wewe
[00:46.85] Raha tele,(ayaya)
[00:48.25] Raha tele, (ayayaya)
[00:50.23] Raha tele, (ayaya)
[00:52.48] Raha tele
[00:54.74] Mapenzi yetu mi na wewe
[00:57.09] Raha tele, na kisura
[00:58.72] Raha tele, (ayaya)
[01:00.54] Raha tele, (oh ooh)
[01:02.78] Raha tele
[01:04.45] Mapenzi yetu mi na wewe
[01:05.53] (Ouuh)
[01:08.63] Nijuze,
[01:27.08] Nijuze kipi kinafanya unalia, (ooh)
[01:28.05] Nieleze mama
[01:29.05] Nieleze maana nshaanza kuchanganyikiwa
[01:31.07] (Aah)
[01:32.52] Ruksa kunifanya chambo
[01:34.11] Wakikuzingua nikapambane
[01:36.61] Nikulinde kama mgambo
[01:38.94] Ili mashorobalo wasikuone
[01:40.76] Koleza mama
[01:44.32] Koleza nazi kwa mchele
[01:46.72] Isambaga tuwaachie wenyewe
[01:51.33] Koleza darlin
[01:54.81] Koleza nazi kwa mchele
[01:57.27] Isambaga tuwaachie wenyewe
[01:59.52] Raha tele,(ayaya)
[02:01.93] Raha tele, (ayayaya)
[02:03.53] Raha tele, (ayaya)
[02:06.38] Raha tele
[02:08.15] Mapenzi yetu mi na wewe
[02:11.19] Raha tele, na kisura
[02:13.45] Raha tele, (ayaya)
[02:15.59] Raha tele, (oh ooh)
[02:18.77] Raha tele
[02:20.98] Mapenzi yetu mi na wewe
[02:23.19] Raha tele
[02:25.60] Nasikia raha, raha tele
[02:28.13] Nasikia furaha, raha tele
[02:29.07] Kuwa na wewe, raha tele
[02:29.76] Naona raha, raha tele
[02:31.36] Oh babe mama, raha tele
[02:32.42] Nakupenda sana, raha tele
[02:33.44] Raha tele, raha tele
[02:35.93] Raha telee
[02:39.07]
Raha Tele Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)