Zeze . (Tanzania)

Song Zeze . (Tanzania)
Artist Tid
Album putumayo presents: global soul

Lyrics

kama wanipenda
kaninunlie zeze
nikilala kitandani zeze la lanibembeleza
mateso moyoni
usiku silali, hadithi sitaki nataka zeze,
penzi lako la thamani, mtanashati jamani usiku silali nakupenda zezeee,
kama
kama wanipenda kaninunulie zeze nikilala kitandani zeze lanibembeleza, machungu sitaki, zeze langu silapati,
mapepe sipendi, penzi langu burudani, niwapo kitandani zeze langu maanani, zeze langu maananiiiii
kama wanipenda(wanipenda) kaninunulie zeze (ooh noo) nikilala kitandani(mmmh), zeze langu lanibembeleza (uuwww yeeeee) ooh yeee oohh yeee
sitakiiii, sipati, sitakii sipendiii uuu yeeee
nasema tena sipendi burudani (burudani) kitandani oyeeee., manani manani
(JMO)
aah ahh mpenzi zeze sema vp basi kama unanikata, mpenzi zeze kabla hijawa balaa, usinilete maposi njoo kwa mwanasanaa, punguza goz goz machizi watakushanga, kama unanipenda njoo uniimbie lala bai, njoo upige zeze tupati tuwe hai wanga wakisema nadhani usiku watalala,
zeze anapigiwa mjanja, zeze apigiwi fala, kama unanipenda kaninunulie si hatari kama uko tayari twende home tujivinjari, J mo na TID ndani ya sauti ya dhahabu ni soo ongeza biidi wewe kwangu
kama wanipenda kaninunulie zeze (ooh nooo) nikilala kitandani zeze lanibembeleza (huu yeeee)