| Umenipukutisha, umeniacha kama bwege | |
| Umenipa ugonjwa kama ule degedege mmh | |
| Sina hata thumni ya kununua chipsi zege | |
| Nikianza kulia machozi yanajaza debe, (debe) | |
| Imani na hitaji la moyo wako sikulijua, kumbe | |
| Kwangu ulitaka kipato ukakimbia aah | |
| Ulivyopata kile ukitakacho ukazingua weewe | |
| Kumbe tapeli wa mapenzi me sikujua, aii weh | |
| Masura wa moyo wanguu mama ndiye | |
| Uliyeniacha mimi njia paanda | |
| Umeondoka na moyo wangu mama | |
| wakati mwenzako nilishakupenda | |
| Ulipenda kuforce hat kama sitaki | |
| Yani bundle lako la kutumia unataka laki, ah | |
| meshanifilisi eti haunitaki | |
| Sawa mwana kwenda me nitapata Mungu akiipeenda | |
| Kwa rahaa (saawa) | |
| Kwa raha zako, (kwa rahaa) | |
| Kwa rahaa | |
| Ponda tu mali zangu we dadaa | |
| Kwa raha | |
| Kwa raha zako (kufa kwaja) | |
| Kwa raha | |
| Atanilipia mungu baba baba, iye, kwa rahaa | |
| Kwa raha zako kwa rahaa | |
| Ona sasa | |
| Umeniachia mdeni kwa yule mama Sikudhani | |
| Kumbe ulikopaga lotion naumbuka huku | |
| Umetupa jiwe gizani kisha limenipata mimi | |
| We mbona huna shukurani naumbuka huku | |
| Kichwa boga zuga zuga mpaka dagaa | |
| Nashindwa kukopa aaeeh | |
| madeni uloniachia nashindwa kulipa ee | |
| We masura wa moyo wangu mama | |
| Ndiye uliyeniacha mimi njia paanda | |
| Umeondoka na moyo wangu mama | |
| wakati mwenzako nilishakupenda | |
| Ulipenda kuforce hata kama sitaki | |
| Yani bundle lako la kutumia unataka lakii | |
| Na umeshanifilisi eti haunitaki, | |
| Sawa mwana kwenda me nitapata Mungu akiipeenda | |
| Kwa rahaa (saawa) | |
| Kwa raha zako(kwa rahaa) | |
| Kwa rahaa | |
| Ponda tu mali zangu we dadaa, iye iye | |
| Kwa raha (eyayayaah) | |
| Kwa raaha zako (kufa kwaja) | |
| Kwa rahaa (atanilipia mungu baba baba) | |
| Kwa rahaa | |
| Kwa raha zako, kwa rahaaa ... | |
| End |