Mama wewe, watoto wameruka mbali na ndege; usijali njoo tuma barua kesho. Usiwe na wasiwasi mama. Mama wewe, watoto wameruka mbali na ndege; usijali njoo tuma barua kesho. Usiwe na wasiwasi mama. Aaa sio yule bwana mmhh ndiyo yule aliyetokea Amerikani yule. Sasa mama wewe watoto wameruka mbali na ndege; usijali njoo tuma barua kesho usiwe na wasiwasi mama