[00:00.000] 作曲 : RAYMOND MAZIKU/Salmin Kasimu Maengo [00:08.830]S2kizzy baby [00:11.990]♪ [00:16.030]Hii leo [00:18.580]Acha tu niwaweke wazi [00:23.060]Mubaki na mishangao [00:25.520]Kuhusu haya mapenzi [00:27.770]Nataka kuvaeleza [00:32.320]Na leo [00:35.460]Tena wahiteni paparazi [00:39.610]Warushe kwa mitandao [00:42.070]Siyataki mapenzi [00:43.930]Nataka jipongeza [00:48.560]Unaemwita your baby [00:50.660]Kumbe nae ana baby [00:52.210]Ooh unaemwona kipenzi [00:55.190]Ni mshenzi hakupendi [00:57.030]Ama kweli mtihani [00:59.120]Mambo mengi duniani [01:00.670]Na mi stress siwezi [01:02.620]Ooooh siwezi [01:04.530]Aahh [01:05.240]Bora ni Enjoy (Mmmmmh) [01:08.630]Maisha mafupi ni simple [01:12.890]Yanini niteseke roho [01:16.600]Jiunge nami upoze koo [01:21.590]Bora ni enjoy [01:24.960]Maisha mafupi ni simple [01:28.960]Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini) [01:33.030]Jiunge nami upoze koo (Mmmh khoo khoo khoo khoo) [01:38.640]Kama kupendaaa [01:41.440]Bora nimpende mama yangu (Mmmh) [01:46.320]Kama kupendwaa mimii [01:50.070]Nitajipenda peke yangu (Ooooh) [01:54.280]Kilichoniponza ufalaaa [01:58.200]Kujiona simba kumbe swalaaa [02:02.440]Kazama kwenye penzi uchwalaaa [02:06.000]Badala ya kusaka miamalaaa [02:09.680]Ail yoooo oh [02:10.960]Toka ni date pesa (Enhee) [02:13.270]Sa napendeza (Enhee) [02:15.180]Na tena naenjoy (Enhee) [02:17.530]Na wanangu ma homeboy (Enhee) [02:19.100]Ooooh account inasoma (Enhee) [02:21.530]Na kamwili kananona (Enhee) [02:23.500]We mwenyewe si unaona yani (Enhee) [02:26.230]Ai nasema boraaaa [02:27.830]Bora ni Enjoy (Kwiri pi pi pi pi pi pi) [02:31.340]Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka) [02:35.540]Yanini niteseke roho [02:37.410](Yanini niteseke rohoo) [02:39.460]Jiunge nami upoze koo [02:41.880](Jiunge na mimi ah) [02:44.360]Bora ni Enioy (Kwiri pi pi pi pi pi pi) [02:47.990]Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka) [02:51.970]Yanini niteseke roho (Aaahh iveeeeiii ve) [02:56.250]Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi ah) [03:00.880]Napenda nikilewa [03:02.640]Nipande juu va meza [03:05.620]Minjonjo [03:06.520]Huku natema kingereza [03:09.180]Tupande juu ya meza [03:11.070]Tupande juu ya meza [03:12.940]Tupande juu ya meza [03:14.660]Za za za za za [03:17.850]Bora ni Enjoy (Kwiri pi pi pi pi pi pi) [03:20.840]Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka) [03:25.200]Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini) [03:29.360]Jiunge nami upoze koo (Ooh khoo khoo khoo khoo) [03:33.210]Kamix Lizer [03:35.970]♪