[00:00.000] 制作人 : Lizer Classic [00:00.084] 作词 : Nasibu Abdul Juma Issaack [00:00.168] 作曲 : Diamond Platnumz [00:00.252]Sikomi -Diamond Platnumz [00:01.37]Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack [00:20.282]Wanasemaga mapenzi safari [00:22.127]Unavyopita ndo jinsi unajongea [00:25.483]Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea [00:30.571]Niliposikiaga habari [00:32.356]Yakisifika nikakesha nangojea [00:35.329]Akabariki jalali na nikawika muziki nikauotea [00:40.542]Ile pruuu mpaka macca [00:42.388]Nikadandiaga bongo movie [00:44.937]Kumbe mapenzi hayataki haraka [00:47.207]Ni kama tango natia tu chumyi [00:50.134]Mwenzenu nikaoza haswa [00:52.464]Na kujitia kitandani mjuzi [00:54.786]Eti nataka fukuza paka [00:57.217]Badala ya mbwa nikafuga mbuzi [00:59.890]Hhhmmm [01:00.837]Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki [01:05.627]Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki [01:10.467]Moyo ukanambia nasibu sasa mapenzi basi [01:15.161]Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi [01:20.460]Esma ananiambia mdogo wangu mapenzi basi [01:25.505]Ila nang'ang'ania [01:26.900]Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine [01:29.986]Ooh mbona sikomi [01:32.855]Sikomiii [01:35.320]Sikomi [01:36.903]Licha ya mateso haya [01:39.381]Najiuliza oh sikomiii [01:41.718]Oh sikomi mbona sikomiii [01:44.336]Mbona jamani [01:45.479]Sikomi [01:46.759]Licha ya mateso haya [01:50.798]Hhhhmmm [01:51.89]Aliyonifanyia wa central [01:52.414]Haki ya mungu siyawezi sema [01:55.420]Ila nimejifunza kesho nisiwaamini wacheza sinema [02:00.428]Moyo walinipatia mateso [02:02.554]Siwezi kumeza siwezi tema [02:05.352]Ndio maana sikushanga ile ghafla [02:07.470]Toka ccm kwenda chadema [02:10.777]Wanasema kitanda ukitandika sharti ukilalie [02:15.592]Nikajitia ukamanda yatakwisha [02:17.984]Wacha nivumilie [02:20.565]Kila kiza kikitanda [02:22.297]Ndo visa machozi me nilie [02:25.359]Penzi yakatia parapanda [02:27.629]Kuwaita waje washambulie [02:29.890]Aah [02:30.205]Acha na penny we darling [02:33.43]Nilio muhongaga gari aliponambia ana mimba [02:37.502]Mwisho wa siku akaichomoa chaliiiii [02:40.366]Mola akanitunuku zari [02:42.863]Akanzalia dume na mwali [02:45.447]Niliyvo mjinga nikacheat aibu mpaka [02:48.497]Kwa vyombo vya habari [02:50.626]Moyo unanambia nasibu sasa mapenzi basi [02:55.360]Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi [03:00.433]Lizer ananiambia simba mapenzi basi [03:05.409]Ila nang'ang'ania [03:07.56]Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine [03:10.106]Ooh mbona sikomi mboooona [03:12.842]Sikomiii mbona jamani [03:15.483]Sikomi [03:17.160]Licha ya mateso haya [03:19.337]Eh nishafumania oh sikomiii [03:21.906]Nikafumaniwa mimi sikomi [03:23.966]Nishagombana na watu sikomiii [03:27.153]Licha ya mateso haya [03:28.778]Licha ya mateso haya [03:48.124] 人声 : Diamond Platnumz