Siku moja jamaa mi aliniita Niko busy kwenye club nakatika Nimetega sikio kwenye speaker Sina muda na mtu hata dakika ati Shawty tukutane please huko town Huku ananiangalia up and down Can I please write your number down? Okay, come, let's get down Excuse me miss Jina langu ni Jackson Together me and you tutaleta action Njoo songea karibu nikupe mitikasi Sio utani ninachoomba ni nafasi Kama dakika tano tu of your time Nikueleze ni-livyo ku-mind 'Toka first time nilipo-lay my eyes On you nili-believe it's true Kuwa ni wewe tu I promise you Ntakupenda boo na utanipenda tu Hadi nimepiga magoti kwenye sakafu Ntakupa chochote utakacho Penz' wape, deserve golden sandals Your love I'll cherish I'll keep Bila scandals Penz' wape, deserve golden sandals Your love I'll cherish to keep Bila scandals Siku moja jamaa mi aliniita Niko busy kwenye club nakatika Nimetega sikio kwenye speaker Sina muda na mtu hata dakika, ati Shawty tukutane please huko town Huku ananiangalia up and down Can I please write your number down? Okay, come let's get down Yo, sikuweza kuringa Sikujali kama ana nyumba ama ana dinga Moyo ulizizima The way he approached me Aliwasha moyo wangu kama tochi Sasa ni mimi Nazizi na ye, siendi kokote Milele mimi na ye Namshukuru Mola kutuleta sisi pamoja Nilikuwa nimeshachoka kungoja Moyo ulivyojujika huo Sasa umepona naridhika na sauti tu Sio lazima kila siku sura yake kuiona Hata bila ye kuwepo bado namwona Akilini mpaka usingizini Mchana mpaka night mawazoni yuko na mimi Namthamini ye kuliko hata madini ama hela Sio lazima utajiri Hata kwa umasikini ni mimi na ye Mungu atujalie, amini Siku moja jamaa mi aliniita Niko busy kwenye club nakatika Nimetega sikio kwenye speaker Sina muda na mtu hata dakika, ati Shawty tukutane please huko town Huku ananiangalia up and down Can I please write your number down? Okay, come let's get down Sawa boo, you know I'm feeling you Na mpaka kufa kwangu you know I'll stay true Forget the haters it's between me and you You and me, we spark the sensi Steam zimepanda story za mapenzi Sawa J, leta basi hiyo lighter Moto wetu itabamba mpaka ita-rise up Mimi na we tu mpaka, mpaka kifo Tighter than tight mzee, sio vitisho Tighter than tight mzee, sio vitisho Tighter than tight mzee, sio vitisho Tighter than tight mzee, sio vitisho Siku moja jamaa mi aliniita Niko busy kwenye club nakatika Nimetega sikio kwenye speaker Sina muda na mtu hata dakika, ati Shawty tukutane please huko town Huku ananiangalia up and down Can I please write your number down? Okay, come let's get down Come let's get down Come let's get down Come let's get down Come let's get down