[00:14.79] Wakati nakuona, najipa moyo sana [00:19.54] Pia nasema, ahsante kwa Mungu aliyekuumba [00:24.51] Kila nyumba, bila we ni kama jangwa [00:29.59] Nimejaribu kutembea kidogo [00:31.86] Nimeona kuume na kushoto [00:34.23] Umeyang'arisha miji zetu, kwa uzuri na urembo wako [00:38.92] Nimejaribu kusafiri karibu na mbali [00:43.54] Nimejaribu kusafiri karibu na mbali [00:49.09] Umependeza miji za ulimwengu, weeh [00:51.65] Ndiyo maana watu wanakupenda [00:54.29] Abibi, Abibi [00:59.24] Abibi, Abibi [01:04.05] Abibi, Abibi [01:09.09] Abibi, Abibi [01:18.30] Umeonesha maana, unayo ndani ya maisha [01:23.25] Naona watu wengi, wametabasamu kila wakati [01:28.25] Unaposema (Sema) [01:29.31] Unapoimba (Imba) [01:30.53] Unapocheka Abibi [01:33.06] Kupitia wewe, Mungu amejaza dunia na raha na akili [01:38.05] Yote haya yananituma, kuimba jina lako nzuri [01:43.25] Abibi, Abibi [01:48.21] Abibi, Abibi [01:52.97] Abibi, Abibi [01:57.91] Abibi, Abibi [02:03.30] Abibibi [02:05.57] Abibibi [02:07.98] Abibibi [02:10.68] Abibibi [02:12.93] Abibibi [02:15.13] Abibibi [02:17.48] Abibi, Abibi [02:22.47] Abibi, Abibi [02:27.45] Abibi, Abibi [02:32.27] Abibi, Abibi [02:42.12] Abibi, Abibi [02:46.97] Abibi, Abibi [02:52.19] Abibibi [02:54.56] Abibibi [02:57.05] Abibibi [02:59.43] Abibibi (Abibibi) [03:01.84] Abibibi (Abibibi) [03:04.70]