[00:24.37] Ooh mama yeah, ooh mama yeah [00:28.99] Yeah yeah [00:30.86] Kanilambisha limwata [00:32.95] Nisikule [00:35.33] Nahisi kama nadata eeh [00:37.74] Msukule eh [00:40.11] Na moyo wangu unawasha [00:42.59] Upelee [00:46.34] Napuliza nakung'ata eeh [00:48.79] Panya buku [00:50.64] Upendo umevuka kina [00:52.79] Nina wivu mpaka roho inauma [00:55.42] Iwe Japan au China [00:57.56] Weka gundi baby tutagandana eh [01:09.85] Supu ukitia nazi utaharibu [01:14.37] Kidole niweke pete, tuwe karibu [01:18.92] Kisha tukawasalimu [01:20.86] Bibi na babu, babu babu babu [01:24.04] Watupikie mihogo [01:24.92] Tunywe mbege [01:26.15] Tukacheze sindimba [01:27.71] Ndege limetua kwenye mti wangu [01:30.11] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah),Nimetekwa mateka [01:37.92] Nimeridhika hayuni wangu [01:39.92] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah),Nimetekwa mateka [01:47.44] Mlango nimepata kufuli wee [01:49.59] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka [01:56.88] Hapa mwisho wa ujeuri yee [01:59.67] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka [02:16.25] Ndoto yake ilikuwa kunipata [02:18.41] Alivyonipata sindo akanipa [02:21.04] Alivyonipa nikashangaa nadata [02:23.74] Nikazama mazima [02:25.67] Wa kwangu mwenyewe [02:27.59] Huyu, huyu, huyu, huyu [02:30.49] Nimempenda mwenyewe, [02:32.30] Huyu, huyu, huyu, huyu [02:35.30] Wa kwangu mwenyewe mwenyewe [02:37.16] Huyu, huyu, huyu, huyu [02:40.04] Punguzeni vimbembele [02:41.10] Huyu, huyu, huyu, huyu [02:45.20] Supu ukitia nazi utaharibu [02:49.94] Kidole niweke pete, tuwe karibu [02:54.70] Kisha tukawasalimu [02:56.56] Bibi na babu, babu babu babu [03:00.19] Watupikie mihogo [03:01.78] Tunywe mbege [03:02.89] Tukacheze sindimba [03:04.75] Ndege limetua kwenye mti wangu [03:06.80] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka [03:14.51] Nimeridhika hayuni wangu [03:16.49] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka [03:23.62] Mlango nimepata kufuli wee [03:25.92] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka [03:33.31] Hapa mwisho wa ujeuri yee [03:35.53] Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka [03:54.15] Huyu, huyu, huyu, huyu [04:15.40]