Unapoelekea mchepuko Wangu unanichosha Mwenzenu Kumlizaliza mke wangu Jamani, Inanichosha mwenzenu Hata kama niko Na wewe Kimwana Utulivu unatakiwa Mimi bado ninamwenyewe Kimwana Utulivu unatakiwa Unamrusha roho kwanini Unamtambia Amekosa nini? Unaharibu Hivyo Nyumbani Ananlilia kila siku mimi Naunajua Kumwacha siwezi Kanizalia watoto mwenzako Punguza kujishaua Unaharibu kichizi Unanipa Changamoto mwenzako Aah Unamvilia mini, akivaa dera Nachenjigi mawigi hata kama sijakupa hela Wewe una iphone, Mwenzako ana motorola Unashindana na gigy kwenye mabendi kutunza hela Vibaya hivyo Mchepuko, mchepuko Unamlizamke wangu Mchepuko, mchepuko Unamlisz mke wango Ninakupa mapesa Unaniita sponsor Unaniongopea Unanikosea Tatizao hiko kishepu na kisura chako Ndo kinanipa mawazo mwenzako Nashindwa kukuacha mwenzako Wowowo nitafilisika juu yako mchepuko Unamvilia mini Akivaa dera Nachenjigi mawigi hata kama sijakupa hela Wewe una iphone, Mwenzako ana motorola Unashindana na gigy Kwenye mabendi kutunza hela Vibaya hivyo Mchepuko, mchepuko Hebu punguza mbwembwe, punguza mbwembwe Unamliza mke wangu Usije kuchezea vikombe Mchepuko, mchepuko We mchepuko Unamliza mke wangu Anakujua, anakujua Navyomjua mama watoto atakufanyizia siku moja Anakujua, anakujua Anakujua, anakujua Navyomjua mama watotot atakufanyizia Anakujua, anakujua Navyomjua mama watotot atakufanyizia