[00:12.91] Unapoelekea mchepuko [00:15.39] Wangu unanichosha [00:16.96] Mwenzenu [00:21.13] Kumlizaliza mke wangu [00:23.22] Jamani, [00:24.34] Inanichosha mwenzenu [00:29.68] Hata kama niko [00:31.25] Na wewe [00:32.08] Kimwana [00:33.34] Utulivu unatakiwa [00:38.14] Mimi bado ninamwenyewe [00:40.29] Kimwana [00:41.70] Utulivu unatakiwa [00:46.46] Unamrusha roho kwanini [00:50.94] Unamtambia [00:52.22] Amekosa nini? [00:55.14] Unaharibu [00:56.26] Hivyo [00:57.06] Nyumbani [00:59.15] Ananlilia kila siku mimi [01:03.40] Naunajua [01:04.76] Kumwacha siwezi [01:06.80] Kanizalia watoto mwenzako [01:11.50] Punguza kujishaua [01:13.27] Unaharibu kichizi [01:15.18] Unanipa [01:15.97] Changamoto mwenzako [01:18.33] Aah [01:20.23] Unamvilia mini, akivaa dera [01:23.67] Nachenjigi mawigi hata kama sijakupa hela [01:28.26] Wewe una iphone, [01:29.84] Mwenzako ana motorola [01:32.27] Unashindana na gigy kwenye mabendi kutunza hela [01:36.21] Vibaya hivyo [01:39.66] Mchepuko, mchepuko [01:43.68] Unamlizamke wangu [01:47.66] Mchepuko, mchepuko [01:52.26] Unamlisz mke wango [01:54.33] Ninakupa mapesa [01:55.95] Unaniita sponsor [01:58.01] Unaniongopea [02:00.18] Unanikosea [02:01.75] Tatizao hiko kishepu na kisura chako [02:03.99] Ndo kinanipa mawazo mwenzako [02:06.83] Nashindwa kukuacha mwenzako [02:11.39] Wowowo nitafilisika juu yako mchepuko [02:19.01] Unamvilia mini [02:20.96] Akivaa dera [02:23.06] Nachenjigi mawigi hata kama sijakupa hela [02:27.07] Wewe una iphone, [02:28.83] Mwenzako ana motorola [02:31.26] Unashindana na gigy [02:32.53] Kwenye mabendi kutunza hela [02:35.33] Vibaya hivyo [02:38.54] Mchepuko, mchepuko [02:40.30] Hebu punguza mbwembwe, punguza mbwembwe [02:42.41] Unamliza mke wangu [02:45.11] Usije kuchezea vikombe [02:46.72] Mchepuko, mchepuko [02:49.33] We mchepuko [02:51.30] Unamliza mke wangu [02:53.38] Anakujua, anakujua [02:56.88] Navyomjua mama watoto atakufanyizia siku moja [03:01.16] Anakujua, anakujua [03:03.70] Anakujua, anakujua [03:05.63] Navyomjua mama watotot atakufanyizia [03:09.85] Anakujua, anakujua [03:14.36] Navyomjua mama watotot atakufanyizia [03:20.29]