[00:08.87] Classic music [00:11.27] Ehh na Mr. T touch [00:14.25] Wanasema nimechange nimepitia mengi please nipeni break [00:17.98] [00:24.16] Nani rafiki, nani adui [00:27.26] Nani mapenzi, nani real, nani fake [00:29.65] Kuni discuss wakutoa wakunipa marks [00:32.12] [00:34.27] Mvua jua hamtaki za wapi, you people talk to much [00:37.92] Mwingine atakutafuta kama nadeal [00:40.39] Wengi watakukuta tu ume-chill [00:42.43] Akaleta maneno ya kiswahili [00:45.15] Wanataka kujua unalipaje bill [00:49.34] Mwengine atakutag [00:50.28] Mwengine haekiwazi ye ni hater [00:53.43] Roho ya ubinadamu kazi wengine watanipenda nikisepa [00:56.82] Acha kuniletea shazi, too much [00:59.24] Pigo za kipaparazi zimekuwa too much [01:01.60] Tantari, tantarira, this is too much [01:03.58] Ahh you people talk too much [01:06.47] Oh no no no no no, too much [01:08.62] Nisile hata nisinye maji, imekuwa too much [01:10.43] Tantari, tantarira, this is too much [01:13.42] Ahh you people talk too much [01:17.61] Too much [01:19.29] Too much [01:21.41] Too much [01:24.33] This is too much, much much [01:26.27] Usingekuwa naichaji watu tungemwagishana sana radhi [01:30.75] Wengine ndio washkaji ukigeuka mgongo wauwaji [01:35.02] Acha kuleta mapicha, picha longo longo [01:37.92] Unamaindisha mambo madogo [01:40.78] Inaweza kukufelisha hata michongo [01:42.79] Ndio maana Malaika akaeka zogo [01:45.10] Mwingine ataku-tag, mwingine haeki wazi ye ni hater [01:49.63] Roho ya ubinadamu kazi, wengine mtanipendaga nikisepa [01:53.16] Acha kuniletea shazi, too much [01:55.56] Pigo za kipaparazi zimekuwa too much [01:58.29] Tantari, tantarira, this is too much [02:00.32] Ahh, you people talk too much [02:02.78] Oh no no no no no, too much [02:04.88] Nisile hata nisinye maji, imekuwa too much [02:07.16] Tantari, tantarira, this is too much [02:09.64] Ahh you people talk too much [02:13.13] Too much [02:15.84] Too much [02:18.48] Too much [02:20.35] This is too much, much much [02:23.09] Wanasemaga mzigo aubebe punda [02:25.18] Utavuma upepo na kimbunga [02:27.23] Lazima kuna Petro na kuna Yuda [02:29.66] Utapigwa mawe mti wa matunda [02:30.50]