V Money On the track S2kizzy babyy Mmmh Moyo unanikosea moyo unanikosea na kaa na ww na tembea na wewe na lala na ww baado unanikosea Zungumza na mimi mchana lalaah Zungumza na mimi usiku laalaah kama haifya weka ndotoni tu mmh Usishindane na kichwa aah tumalizane yakaisha aah moyo nirudishie maisha aah tuputupu nimekwishaa aah Moyo unanikosea Moyo unanikosea Moyo unanikosea Moyoo Moyo unanikosea Moyo unanikosea (Wee moyo) Moyo unanikosea Moyo unanikosea (Wee moyo) Moyo unanikosea Umeni adhibu chozi tiba yangu(We haya) Umezi haribu zote hisia zangu(basi sawa) Moyo Mbona umenitoa chambo ooh moyo we hunaga chanjo ooh moyo umenifanya pango ooh moyo huishiwi mipango ooh Waongo wote unawaleta kwangu Wanaocheat nao ni wakwangu Walevi wote nao ni wakwangu Mbona unajitesaa Usishindane na kichwa aah tumalizane yakaisha aah moyo nirudishie maishaa aah tuputupu nmekwisha aah Moyo unanikosea Moyo unanikosea Moyo unanikosea Moyoo Moyo unanikosea Moyo unanikosea (Wee moyo) Moyo unanikosea Moyo unanikosea (Wee moyo) Moyo unanikosea Moyooo Weee moooyoo