[00:06.07] Yeah, mm-hmm [00:10.29] Shin' we si binadam' anymore [00:12.39] We ni brand sasa maisha yako ni show [00:14.67] Media ina scrutinize moves unamake [00:16.71] Hakuna days off hata kaa inakubreak [00:19.64] Wee baki kwa box tumekuweka usitoke [00:22.51] Hivo ndo tunapenda, usichoke [00:24.61] Either you love me like you say you do [00:26.78] Or just love what I do for you [00:28.60] Either way, lucky you [00:29.66] Lucky you, lucky you, lucky you [00:31.75] Life yako si ni easy, lucky you [00:34.35] Wakikuona wanachizi, lucky you [00:36.75] So many kids wanna be just like you (lucky you) [00:39.38] Lucky you, aki you, lucky you [00:41.72] Aki watu wanakupenda, lucky you [00:44.12] Wakikuona wanachizi, lucky you [00:46.53] So many kids wanna be just like you [00:48.89] Natry kuishi vi righteous [00:50.43] Ku turn pages [00:51.70] Ku make changes, life changes [00:54.13] Najua fame kutoka far inakaa painless [00:56.54] Outsider ako naive to the dangers [00:59.39] Hakuna sympathy kaa una succeed [01:01.18] Hao husema unamake dooh so don't complain please [01:04.36] Sahau stori ya privacy we ni public property [01:07.30] No matter how your day is [01:09.04] Hata kama deep down you don't love me [01:11.17] Picha na mimi itakuongezea likes IG [01:13.67] Unakaa unaishi life wanawish [01:16.06] Hakuna mtu atakuskia hapa ukilia-lia "why me?" [01:18.94] Room iko overcrowded after shows [01:21.46] Ma time mi nataka tu kudoz [01:23.54] Sioni trophy inakam na kuwa na hoes [01:25.61] But kaa unanilike I suppose, lucky you [01:28.77] Lucky you, lucky you, lucky you [01:30.38] Life yako si ni easy, lucky you [01:32.91] Wakikuona wanachizi, lucky you [01:35.38] So many kids wanna be just like you [01:37.96] Lucky you, aki you, lucky you [01:40.02] Aki watu wanakupenda, lucky you [01:42.73] Wakikuona wanachizi, lucky you [01:45.31] So many kids wanna be just like you [01:47.97] Ikikureach hii nahope itago deep [01:50.10] Huna copy mi ni chief chef hakuna kitu new mnanishow [01:53.30] Si kitu ya ku vote unajua mi ndio the G.O.A.T [01:55.70] Before nirudi uliona vile industry ilikua inaboo [01:58.23] Nakumbuka mkicheka kapuka ilikua joke [02:00.33] Mi niko kwa ring bado nyi mlienda broke [02:02.98] Juu tunaongea pesa ukiona si utahepa [02:05.55] Wakiitwa ma show vile hao ma king wana quote [02:08.35] Bora ganji inaingia [02:09.60] I had to go off topic to reward your ear [02:12.10] Juu tayari message iko loud and clear [02:14.62] We both know why you're here [02:16.38] I'm the best! Lucky you [02:17.45] Lucky you, lucky you, lucky you (woo) [02:19.43] Life yako si ni easy, lucky you (lucky me) [02:22.12] Wakikuona wanachizi, lucky you (lucky you) [02:24.43] So many kids wanna be just like you (yeah, yeah) [02:27.10] Lucky you, aki you, lucky you (uh-uh) [02:29.38] Aki watu wanakupenda, lucky you (uh) [02:31.65] Wakikuona wanachizi, lucky you (uh) [02:34.55] So many kids wanna be just like you [02:37.02] Lucky you, lucky you, lucky you (brought to you by) [02:39.16] Lucky you, lucky you, lucky you (K Da Great) [02:41.90] Wakikuona wanachizi, lucky you [02:44.09] So many kids wanna be just like you [02:47.16]