[00:13.01] Pusha washa [00:14.64] Mi nina stress zimejaa kwenye kichwa [00:19.20] Sogeza kiti kaa [00:21.03] Nikueleze machache yaliyonikuta [00:26.14] Kuna kijanaa ana nisumbua sanaaaa [00:29.54] Mke wangu raha hana [00:32.24] Nyumbani amani hakuna [00:35.21] Hi hiiii [00:37.06] Asidhani mimi ni mkimya sana [00:40.09] Mwenzie naumia roho yangu [00:42.97] Nisije baadae mi kupata lawama [00:45.89] Nikaharibu CV yangu [00:49.07] Mwambieni ama zake ama zangu [00:52.85] Mi ntakufa naye [00:54.78] Nasema mwambie [00:56.34] Ama zake ama zangu [00:58.73] Mi nitakufa naye [01:00.83] Mkimuona mwambieni [01:02.49] Ama zake ama zangu [01:04.67] Nitakufa naye [01:07.04] Eeeh Mwambieni [01:08.36] Ama zake ama zangu [01:10.76] Nitakufa naye [01:12.65] Anapitaga kibarazani [01:15.01] Nguo kashusha makalioni [01:18.27] Anajifanya yeye muhuni [01:21.11] Wenzie tulianza tisini [01:23.38] Tutabadilishana majengo ya serikali [01:27.93] Aaahh ahhh [01:29.29] Mi niende jela, yeye aende mochwali [01:33.52] Ahhhh ahhah [01:34.94] Hi hiii [01:37.13] Asidhani mimi ni mkimya sana [01:40.02] Mwenzie naumia roho yangu [01:43.26] Nisije baadae mi kupata lawama [01:46.27] Nikaharibu CV yangu [01:49.46] Mwambieni [01:50.41] Ama zake ama zangu [01:52.67] Mimi nitakufa naye [01:54.43] Nasema mwambieni [01:56.99] Ama zake ama zangu [01:58.83] Mimi nitakufa naye [02:00.42] Mkimwona mwambieni [02:02.38] Ama zake ama zangu [02:05.09] Mimi nitakufa naye [02:06.61] Ehh mwambieni [02:08.22] Ama zake ama zangu [02:11.13] Mimi nitakufa naye [02:14.33] Aiyo, aiyo, aiyoyo [02:18.60] Huwaga sipendagi dharau [02:20.29] Aiyo, aiyo, aiyoyo [02:23.97] Mwambie anajisahau [02:26.16] Aiyo, aiyo, aiyoyo [02:29.85] Tutachukiana mamaa [02:32.52] Aiyo, aiyo, aiyoyo [02:36.37] Tutapeana lawana sana ooho [02:57.11]