[00:00.000] 制作人 : Salmin Rashid Kassim/Siraju Khamis Amani [00:01.000] 作词 : Diamond Platnumz [00:02.000] 作曲 : Diamond Platnumz [00:08.926] S2kizzy baby! [00:13.479] Ayoo Lizer [00:14.943] [00:15.737] Dangote baba lao (Baba lao) [00:17.366] Simba baba lao (Baba lao) [00:19.427] Chibu baba lao (Baba lao) [00:21.429] Mondi baba lao (Baba lao) [00:23.010] Eeeh Zombie baba lao (Baba lao) [00:25.157] Magufuli baba lao (Baba lao) [00:26.981] Makonda baba lao (Baba lao) [00:29.027] Wasafi chama lao [00:30.807] Ngoma kwa ngoma ni kopo koko [00:32.738] Leo ndani twakesha popo [00:34.727] Waiter tasambazia moko moko [00:36.833] Moja baridi, Moja moto [00:38.766] Mmechoka eti?? (Aaah! Wapi) [00:40.843] Mnataka lala?? (Aaah! Wapi) [00:42.585] Tungi limezidi?? (Aaah! Wapi) [00:44.524] Tuzime muziki??(Aaah! Wapi) [00:45.850] Asa twende kisamugile, sambamba, Hapo vipi inabamba?? [00:50.199] Inogile inatamba, basi chanika musamba [00:54.055] Eeeh!! Wataweza kweli?? (Aaah! Wapi) [00:56.100] Kushindana nasi?? (Aaah! Wapi) [00:57.897] Hata wakiungana?? (Aaah! Wapi) [00:59.890] Matusi kututukana?? (Aaah! Wapi) [01:02.016] Dangote baba lao (Baba lao) [01:03.878] Simba baba lao (Baba lao) [01:05.869] Chibu baba lao (Baba lao) [01:07.853] Mondi baba lao (Baba lao) [01:09.482] Eeeh Zombie (Baba lao) [01:11.679] Magufuli baba lao (Baba lao) [01:13.538] Mwakyembe baba lao (Baba lao) [01:15.456] Wasafi chama lao [01:17.225] Hajib selema, Adija Selema (Selema) [01:21.067] Mondi nyangema, Shimo ametema (ametema) [01:25.040] Amefosi bifu mseleleko (Eeeh! Tumemkwepa) [01:29.276] Amebaki masononeko (Eeeh! Wanamcheka) [01:32.828] Kwanza kunja goti (Lee kunja goti) [01:34.970] Kisha vua shati (Eeeh vua shati) [01:36.726] Cheza kama monkey (Aiii!) [01:38.552] Vunja ukidanki danki [01:40.237] Eeeh! Tumewachapa (Kidude) [01:42.472] Hakichomoki (Kidude) [01:44.388] Kimewanasa (Kidude) [01:46.300] Wanatapatapa (Kidude) [01:48.321] Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh! [01:52.225] Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh! [01:56.005] Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh! [01:59.905] Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh! [02:04.011] Dangote baba lao (Baba lao) [02:05.773] Simba baba lao (Baba lao) [02:07.859] Chibu baba lao (Baba lao) [02:09.817] Mondi baba lao (Baba lao) [02:11.444] Eeeh Zombie baba lao (Baba lao) [02:13.574] Magufuli baba lao (Baba lao) [02:15.369] Majaliwa baba lao (Baba lao) [02:17.339] Wasafi chama lao [02:19.333] Mzuka ukipanda na hili shati navua (acha uongo) [02:23.137] Mzuka ukipanda na hili bukta navua (acha uongo) [02:26.827] Jamani navua (acha uongo) [02:28.670] Mama navua (acha uongo) [02:30.635] Mwenzenu navua (acha uongo) [02:32.789] Eeeeh! Kuna Basata [02:34.992] Basi napiga Yope (Huwezi) [02:36.684] Ooooh! Napiga Yope (Huwezi) [02:38.658] Iyobo napiga Yope (Huwezi) [02:40.544] Mi napiga Yope (Huwezi) [02:42.659] Eeeeh... [02:49.959] Tale napiga Yope (Huwezi) [02:52.207] Mi napiga Yope (Huwezi) [02:54.213] Momo napiga Yope (Huwezi) [02:56.047] Fungwe napiga Yope (Huwezi) [02:58.072] Eeeeh... [03:02.898] 人声 : Diamond Platnumz