作词 : Jux 作曲 : Mocco Genius Intro: Mocco Verse: Hello, habari gani? Hello oh ooh, unaitwa nani? Hello, uko gizani? Hello, kuna tatizo gani? Basi we nieleze Walipo kaza nilegeze You are so beautiful baby Hauendani na mawazo mama (Noo) Pre-Chorus: Huwezi kushindana na moyo wako usijiumize (aaah uuuh) Mimi sio mbaya wako nisikilize (Nooo) Chorus: Bado yupo yupo kwanza (Mmmh) Bado yupo yupo sana (Eh, yeee) Bado yupo yupo kwanza Bado yupo yupo sana Kushindana na moyo wake Bado yupo yupo kwanza (no, no) Bado yupo yupo sana (eh, yeah) Bado yupo yupo kwanza Bado yupo yupo sana Anataka awe peke yake Bado, ah aah aah nah nah Verse: Hana ulinzi wa moyo tena (aaaahaa) Wake uaminifu umekufa mazima (aaaahaa) Mapenzi yamefanya asile Mapenzi yamefanya asilale Chochote nachomwambia bure Anaona nampigia kelele Ila eti anashukuru Mungu alipofika panatoshaa Na tena mzigo mzito wa mapenzi ameutua amepumzika Yaani hataki tena Bado mapema Hataki tena Vurugu za mapenzi zimemchosha Pre-Chorus: Huwezi kushindana na moyo wako usijiumize (aaah uuuh) Mimi sio mbaya wako nisikilize (Nooo) Chorus: Bado yupo yupo kwanza (Mmmh) Bado yupo yupo sana (Eh, yeee) Bado yupo yupo kwanza (Eh, yeee) Bado yupo yupo sana (Badoo) Kushindana na moyo wake Bado yupo yupo kwanza Bado yupo yupo sana (Badoo) Bado yupo yupo kwanza (Eh, yeeeiyee) Bado yupo yupo sana Anataka awe peke yake Peke yake, peke yake, peke yake, peke yake