作词 : Jux 作曲 : Jux Intro: Aah ha ha, Aah ha ha Aah ha ha, Aah ha ha Verse: Kwa nini ukiniona Unakosa furaha Ziache kona kona Kwa nini ujipe karaha mama Mi najua unachotaka wee Unachowazaga Ata mimi napitiaga Ila tu najikaza eeh Pre-Chorus: Na siwezi kumaliza verse Bila kusifia your pretty face Machoni mwako naona loneliness (Loneliness) Siwezi kumaliza verse Bila kusifia your pretty face Machoni mwako kuna loneliness (Loneliness) Chorus: Najua kuna vingi we husemi Kwangu mimi sio mbaya Ah tell me, kwangu mimi sio mbaya Ah tell me, kwangu mimi sio mbaya nieleze Endapo utanimiss just call me Kwangu mimi sio mbaya Nipigie, kwangu mimi sio mbaya Mama uniambie, kwangu mimi sio mbaya yani nieleze Bridge: Mmmmh, yeaah Nieleze, nieleze Oooh no no no no Yeeeiyeee Verse: Kuna mazuri mengi umefanya Sikutangaza ubaya (aaah) Kuna mazuri mengi nimefanya Sitokusemea ubaya (aaah) Please let me know oh oh oh Nijue kweli, sio maigizo (maigizo) Let me know oh oh oh Labda we mimi sina tatizo, (tatizo) Pre-Chorus: Na siwezi kumaliza verse (Nooo) Bila kusifia your pretty face Machoni mwako naona loneliness (Loneliness) Siwezi kumaliza verse Bila kusifia your pretty face (your pretty face ye) Naona loneliness aah(Loneliness) Chorus: Najua kuna mengi we husemi Kwangu mimi sio mbaya Ah sio mbayaaa, kwangu mimi sio mbaya Sio mbayaaa, kwangu mimi sio mbaya Mama nieleze Ukinimiss just call me Kwangu mimi sio mbaya Mama maama maama, kwangu mimi sio mbaya Nasema kwangu mimi sio mbaya nieleze Outro: Moyo wako unataka taka Mdomo wako nakataza taza Naamua kunyamaza maza Bora useme unachowaza waza (Unajua mama) Kwangu mimi sio mbaya (Eyeeee) Kwangu mimi sio mbaya (Ooaahaah) Kwangu mimi sio mbaya nieleze (kwa niniiii) Ukininimiss just call me Kwangu mimi sio mbaya (aaah aah) Kwangu mimi sio mbaya (oooh ooh) Kwangu mimi sio mbaya nieleze eeh