作词 : Jux 作曲 : Elly Piano Elly Piano Intro: Aaaah aauh Verse: Unaweza kupenda, Tena bila sababu. Ndo maana sijutii, Kukutana na wewe. Mapenzi ni kitambo, Toka enzi za mababuuu Ndio maana sijutii, Kukutana na wewe. Eeeyeeeeeeh Upofu wako sio tatizo Uwepo wako kwenye matatizo Aaah! Tabia zako ooh jinsi ulivo aah ( sio siri x2) Huruma wako ooh, baby (aah aah) Pre-Chorus: Nywele zako, baby, Sura yako Kucha zako mama, Rangi yako Mwendo wako, darling, Shepu yako Zinanibamba weweeee Pozi zako, Mama, Maringo yako Unanidatisha michezo yako Kiuno chako unaweza, Eeeh Chorus: Natamani ungejiona eeh Jinsi ulivyo mrembo X2 Ungeona mamaaa Jinsi ulivyo mrembo X2 Natamani ungejiona eeh Jinsi ulivyo mrembo X2 Wewe ni mzuriiii Jinsi ulivyo mrembo X2 Bridge: Mmmmmh yeeeeh , Mmmmmh yeeee eeh Eeeeeeeh Verse: Kuna muda unatamani, unipikie chakula, Kibaya hauwezi Kuna muda unatamani, unichagulie cha kuvaa, Kibaya hauwezi Kuna muda unatamani, tutazame muvi wote, Kibaya hauwezi Kuna muda unatamani, uione sura yangu, Kibaya hauwezi Siwezi kukuacha njiani, We ndio wangu maishani Na wengine sitamani, Hata kama hauoni We ndio wangu daily, Wengine sitamani Unanipa raha tele, Umenikaa moyoni Ahh! Aaah! Eeeh Pre-Chorus: Nywele zako, baby, Sura yako Kucha zako mama, Rangi yako Mwendo wako, darling, Shepu yako Zinanibamba wewe Pozi zako, Mama, Maringo yako Unanidatisha michezo yako na na naaana Kiuno chako unaweza, Eeeh Chorus: Natamani ungejiona eeeh Jinsi ulivyo mrembo X2 no no Ulivyo mama Jinsi ulivyo mrembo X2 (Yeeeiyee) We Mzuriiiiii Jinsi ulivyo mrembo X2 Aaah ah jinsi ulivyo mama Jinsi ulivyo mrembo X2 mmmmmh Yeeeeehee Outro: Your loving X3 Nafurahia Your loving X3 We ni mzurii Your loving X3 Nafurahia Your loving X3 Nafurahiaaaa