作词 : Jux 作曲 : Abba Touches Intro: Abbah Verse: Pindi ukicheka we, Mi moyo unanitabasamu Huwa mwenye kujihisi mororoo Ila ukilia we, Hata kula nakosa hamu Huwa mwenye kujihisi dororo Pre-Chorus: Ukiwa karibu na mie Najiona bora Lakini ukiwa mbali baby Baridi linachoma Uwepo wako we na mie Umetia fora We ndo daktari darling nikitaka kupona Chorus: Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza Verse: Sitamani mwingine Wala sidhani ka ataweza kutokea Maana mambo yako moto moto moto Labda upite ushetani mwingine Maneno ya watu nishazoea i don’t care Kila kukicha chokochoko Unavyonipa rahaa Ndo na nenepa mie Penzi lako na tinga na ringa na bembea Kinachokufaaa Usisite niambie Kwako niko radhi, hata zege nibebe machinga ni nadishee Pre-Chorus: Ukiwa karibu na mie Najiona bora Lakini ukiwa mbali baby Baridi linachoma Uwepo wako we na mie Umetia fora We ndo daktari darling nikitaka kupona Chorus: Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza Outro: Unaniweza weza Yeiyeeee, I do it for love, For love Unaniweza weza For love , For love , I do it for love Yeeeee Unaniweza weza