[00:03.25] Kwanza nimenyoa deni [00:10.63] Napenda sana mitindo ya nywele [00:13.15] Kuruka usiseme [00:15.44] Viwanja vipya ninakaribishwa [00:17.80] Kwenye kura saa za Insta nakesha [00:19.96] Nikitafuta tena mabaya [00:22.07] Nikisikia mabata nataka [00:24.41] Nalitafuta tena nalipa [00:27.38] Wala silipi maden, Nikikopa na beti [00:30.45] Wala sionagi soni [00:32.61] Fungu la kumi kwangu hio ni stori [00:35.43] Nasubiri jumapili(Sunday) [00:37.31] Hata najua sina imani, japo naitikia Amina [00:41.87] Nasubiria ukitendaga kwanza, ndio nikubali [00:46.49] Aah kama Yesu najua na idadi ya vitabu najua [00:51.29] Na yalipo makanisa najua, ila kuhudhuria nashindwa [00:55.99] Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia [01:01.32] Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa [01:05.33] Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia [01:10.68] Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa [01:15.05] Eeh niko na ubaya, niko na ubaya [01:19.45] Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe [01:24.30] Oooh niko na ubaya, niko na ubaya [01:28.99] Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe [01:33.52] Kuna venye hii movie inanichoma [01:35.88] Hasa ile parapanda [01:38.25] Ikipigwa wakizika [01:40.12] Na appear, sirudii kosa [01:42.81] Maneno yananichoma [01:45.02] Binadamu ni maua [01:47.39] Ikipita wiki moja masikini [01:49.97] Nasahau kabisa [01:52.65] Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia [01:57.64] Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa [02:01.71] Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia [02:07.05] Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa [02:11.31] Eeh niko na ubaya, niko na ubaya [02:14.28] Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe [02:20.46] Oooh niko na ubaya, niko na ubaya [02:25.38] Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe [02:29.94] Nakupa maisha na moyo, utakase [02:34.18] Ninapoanguka nishike nisimame [02:39.12] Nakupa maisha na moyo, utakase [02:44.65] Ninapoanguka nishike nisimame [02:49.16] Eeh niko na ubaya, niko na ubaya [02:53.81] Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe [02:58.55] Oooh niko na ubaya, niko na ubaya [03:02.45] Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe [03:08.33]