[00:04.32] Kusema kweli bado nakuhata [00:09.02] And on the daily bado nakufuata [00:14.18] Kosa sio hoja zaidi ya kukupenda [00:19.47] Vipi nikatupa ndoto tulizoziota [00:24.34] BRIDGE:hoooo uliniwasha nare [00:26.76] Enzi zetu za kuparre kwa mvinyo na makali magizani hadi ngware [00:34.05] Nikijifanya daktari wa mabinti wale [00:39.65] Wenye shepu za hatari nikapotelea ndani... [00:44.30] Ilaaa mwambie nampenda... [00:47.76] Roho yamtamani, bado nampenda ukimwoona... [00:55.11] Mwambie nampenda roho ya mtamani bado nampenda ukimwona... [01:12.88] (Ukimwoona...) [01:25.03] Tabasamu la kishua [01:27.68] Roho sawa na maua [01:30.01] I cant help I miss you every morning vile unapendeza [01:34.94] Kama ningeweza jua yepi ya kutarajia [01:40.02] Nisingejipata mashakani kwa niliyoyatenda [01:45.21] Ninayempenda ni wewe hakuna mwengine wakubadili penzi [01:55.96] Ningependa tuelewane [02:00.26] Kiburi kisinikosanishe nawe [02:05.65] BRIDGE:hooo uliniwasha paree na sikushika nare ukanisema kwa jirani [02:12.71] Kwamba mimi ni kisarani aibu za hadharani vile penzi hatari [02:20.67] Njoo unipe amani kama hapo zamani [02:26.02] Mwambie nampenda... [02:29.09] Roho yamtamani, bado nampenda ukimwoona... [02:36.13] Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona... [02:53.72] Ukimwoonaa... [03:06.47] Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona... [03:16.29] Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona... [03:26.60] (Mwambieeee) Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona... [03:37.01] (Mwambieeee) Mwambie nampenda roho ya mtaani bado nampenda ukimwona... [03:46.82]