作词 : Nasibu Abdul Juma Issaack/Fally Ipupa 作曲 : Nasibu Abdul Juma Issaack/Fally Ipupa Diamond Platnumz 、Fally Ipupa -Inama Lyrics by:Nasibu Abdul Juma Issaack/Fally Ipupa Composed by:Nasibu Abdul Juma Issaack/Fally Ipupa Ayolizer Diamond Platnumz: Kukudekeza kama mtoto Furaha unafurahia Alafu geuka moto Machozi unalia Mwembamba mwenene Uwe na pesa kama Dangote Dangote Penzi halijali umasikini Laweza penda mtu yoyote Penzi sio somo Ukasome kwa kitabu Penzi limefanya Harmonize Afukuzishe Mwarabu Penzi oyoyo Limeleta kwa wanangu vita Siku hizi siwaoni Naishia kuwalike Insta Hivo asiyekupenda Achana naye Anayekupenda Pendana naye Mambo stress Ya nyumba ndani Ebu cheza ufurahi Kama songi limekolea Diamond Platnumz: Asa inama Ebu pinda mgongo Ooh ngo ngo ngo Oya inama Inama beiby Basi pinda mgongo Ngo ngo ngo ngo ngo Asa inama Inama beiby Ebu pinda mgongo Kama tungi limepoza Oya inama basi pinda mgongo Fally Ipupa: Toujours l'amour e'bandaka na esengo ba bisous ba calins Ba cadeaux ba je t'aime tout le temps Mawéeleka wapi bébéna nga aza présente Soucis eleka wapi chérie na ngai azali ehhh Tango nyonso e'belaka nga Je t'aime Baloba basilika oh Baloba basilika oh nga n'ako lembe teh Baloba basilika oh Baloba basilika oh nga n'ako lembe teh Chérie aza kitoko Chérie aza elengi trop Chérie aza kitoko Chérie aza elengi trop Parfois l'amour est compliquémais chérie àmoi est toujours romantique Diamond Platnumz/Fally Ipupa: Asa inama Oh oh oh Ebu pinda mgongo Nakupenda mtoto Oya inama Bana inama Basi pinda mgongo Bébéna ngai eh Asa inama Na lela oh ohohoh Ebu pinda mgongo Ooh mgongo Oya inama basi pinda mgongo Asa nionyeshe unanyonga je Nyonga nyonga kibasikeli Nyonga kaa kibasikeli Nyonga kama kibasikeli Ah kiuno kifanye pedeli Nyonga nyonga kibasikeli Nyonga kaa kibasikeli Nyonga kama kibasikeli Ah nyonga na kupinda mgongo Nyonga nyonga kibasikeli Nyonga kaa kibasikeli Nyonga kama kibasikeli Nakucheza ka goma la kashikwa midadi Analishare lishare Analishare lishare Analilili Analishare lishare Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi Analishare lishare Yuko bwi Analishare lishare Silali Analishare lishare Oooh Analishare lishare Yeah Samuel Eto'o Didier Drogba Wasafi Fally Ipupa Tokooosss Toza likolo Bakokoka Té Kokate