[00:10.67] Mmmmh! [00:17.85] Labda mapenzi yawaumiza roho zao [00:25.34] Eti kwengine sipati sijiwezi [00:30.12] Ndo maneno wasema, kwamba [00:34.66] Kwako sifurukuti sijiwezi [00:39.50] Nidivyo hivyo wanavyosema [00:41.39] Na mimi nanyamaza kimya nakupenda [00:45.66] Naogopaa nikikuona nakuwa kimya [00:50.19] Sina cha kusema nakupenda [00:54.45] Labda sina faragha nashuka kupanda ila nakupenda [00:59.09] Mimi kwako ni mjinga sinaga ujanja waache wanaoponda [01:03.53] Kama chumba mi dalali (ahh) [01:07.86] Penzi letu lifike mbali (ahh) [01:11.60] [01:14.07] Nibebe bee (nakupenda usiwe na makuu) [01:17.21] Baby nibebe bee (hata kama nikining'iniza miguu) [01:22.66] Nibebe bee (wanataka niwe chini wao juu) [01:26.96] Mpenzi wee nibebe bee (ahh ahh) [01:30.22] [01:49.14] Nimesikia wamekuundia na group matusi matupu [01:53.99] Wanakunyanyasa wanakutukana jitoe [01:58.95] Usiwe mchonga vinyago utanifirisi [02:03.60] Mwisho wa siku tukigombana ikawa hadithi [02:08.02] Wee kitumbo mbelembele kwa kuku na chipsi [02:12.65] Usiyeacha hata mifupa utakuwa fisi [02:16.98] Kama chumba mi dalali (ahh) [02:20.57] [02:24.45] Penzi letu lifike mbali (ahh) [02:25.74] Nibebe bee (nakupenda usiwe na makuu) [02:31.13] Baby nibebe bee (hata kama nikining'iniza miguu) [02:35.49] Nibebe bee (wanataka niwechini wao juu) [02:40.46] Mpenzi wee nibebe bee (ahh ahh) [02:45.06] Nibebe bee (nakupenda usiwe na makuu) [02:49.07] Baby nibebe bee (hata kama nikining'iniza miguu) [02:53.23] Nibebe bee (wanataka niwechini wao juu) [02:58.11] Mpenzi wee nibebe bee (ahh ahh) [03:00.04]