S2kizzy baby... Nishawahi kuwaza sana Nakujua kwa nafsi nachohitaji ni mapendo na furaha Japo nishateswa sana ila najua Ipo siku nitapata mmoja ambae anaenifaa Mara moja chozi limenitoka, bado yapite kama nyoka Siishi kulialia machungu kuvimilia Kulizwa lizwa nishachoka kutumika kama bazoka Mengi nimeshapitia (Ila moyo ndo umekosa papara) Sina Sina (papara) Sina Sina Sina Sina(papara)×3 Sina Sina... Macho yanatamani nafsi inatamani kuwa na Amani yake... Japo sina imani moyo unatamani kuwa na thamani yake. Mara moja chozi limenitoka, bado yapite kama nyoka Siishi kulialia machungu kuvimilia Kulizwa lizwa nishachoka kutumika kama bazoka Mengi nimeshapitia (Ila moyo ndo umekosa papara) Sina Sina (papara) Sina Sina Sina Sina(papara)×3 Sina Sina... (Najua Najuaa nitakuja kupenda tenaaaaa. Eh-ih- yeahhh) Sina Sina Sina kupenda teena i yeahh(papara) Sina Sina (papara)×2 Woow yeah Tena iyeeeeeh Sina Sina...