[00:10.63] S2kizzy baby... [00:11.69] Nishawahi kuwaza sana [00:12.98] Nakujua kwa nafsi nachohitaji ni mapendo na furaha [00:20.57] Japo nishateswa sana ila najua [00:24.85] Ipo siku nitapata mmoja ambae anaenifaa [00:29.50] Mara moja chozi limenitoka, bado yapite kama nyoka [00:36.13] Siishi kulialia machungu kuvimilia [00:41.54] Kulizwa lizwa nishachoka kutumika kama bazoka [00:46.96] Mengi nimeshapitia (Ila moyo ndo umekosa papara) [00:52.89] Sina Sina (papara) Sina Sina Sina Sina(papara)×3 [01:07.59] Sina Sina... [01:09.60] Macho yanatamani nafsi inatamani kuwa na Amani yake... [01:31.09] Japo sina imani moyo unatamani kuwa na thamani yake. [01:41.06] Mara moja chozi limenitoka, bado yapite kama nyoka [01:46.54] Siishi kulialia machungu kuvimilia [01:51.49] Kulizwa lizwa nishachoka kutumika kama bazoka [01:57.89] Mengi nimeshapitia (Ila moyo ndo umekosa papara) [02:02.83] Sina Sina (papara) Sina Sina Sina Sina(papara)×3 [02:18.30] Sina Sina... [02:21.06] (Najua Najuaa nitakuja kupenda tenaaaaa. Eh-ih- yeahhh) [02:31.69] Sina Sina Sina kupenda teena i yeahh(papara) [02:41.47] Sina Sina (papara)×2 Woow yeah Tena iyeeeeeh [02:47.79] Sina Sina... [02:49.34]